If your internet connection might be blocking the Tor network, you can try using bridges.
Some bridges are built in to Tor Browser and require only a few steps to enable it.
Kutumia pluggable transport, bofya "Configure Connection" unapoanza kutumia Tor Browser kwa mara ya kwanza.
Chini ya sehemu ya "Bridges", onyesha chaguo la "Choose from one of Tor Browser's built-in bridges" na bofya katika chaguo la "Select a Built-In Bridge".
Kutoka katika mpangilio, chagua chochote pluggable transport utakachopenda kukitumia.
Pale unapokuwa umechagua pluggable transport, pandisha juu na bofya "Connect" kuhifadhi mpangilio.
Au, kama unatumia Tor Browser, Bonyeza "Settings" katika menu iliyofichwa (≡) na halafu "Connection" katika ubao wa pembeni.
Chini ya sehemu ya "Bridges", onyesha chaguo la "Choose from one of Tor Browser's built-in bridges" na bofya katika chaguo la "Select a Built-In Bridge".
Chagua pluggable transport wowote ungependa kutumia kutoka katika muongozo. Mpangilio wako utahifadhiwa otomatiki pale tu utakapofunga kurasa.
Ikiwa unahitaji bridges nyingine, unaweza kupata katika Bridges website yetu.
Kwa taarifa zaidi kuhusu bridges, angalia Tor Browser manual.