New Identity ni kipengele cha Tor Browser ikiwa unataka kuzuia shughuli zako za Browser zilizofuata kutokana na kuunganishwa na ulichokuwa ukifanya hapo awali.
Kuichagua itapekea kufunga kwa kurasa zote zilizofunguliwa na windows, futa taarifa zote za siri kama vile cookies na browsing history, na mtumiaji mpya Tor circuits kwa muunganisho wote.
Tor Browser will warn you that all activity and downloads will be stopped, so take this into account before clicking "New Identity" (accessible through the small sparkly broom icon at the top-right of the screen).
New Identity pia huweza kusaidia ikiwa Tor Browser ikiwa na matatizo katika kuunganisha tovuti maalum, vile vile katika "New Tor Circuit for this Site".