Inaonekana kwa sasa hakuna njia ya kuendesha Tor Browser kwenye windo ya simu ya zamani ila kwenye kesi ya brandi mpya ya Microsoft/kukuza simu, baadhi ya hatua kwenye Tor Browser for Android inaweza kufuatwa.
The Guardian Project inadumisha Orbot ( na sehemu zingine za maombi ya kibinafsi) kwenye Android. Taarifa nyingi zinaweza kupatikana kwenyeGuardian Project's website.
Tunashauri proramu ya iOS inayoitwa Onion Browser, ambayo inapatikana bure kwa uwazi, kutumika kusafirisha, na imetengenezwa na mtu ambaye anafanya kazi kwa ukaribu na Tor Project.
Hatahivyo, Apple huitaji kivinjari katika iOS kutumia kitu kinaitwa Webkit, ambayo huzuia Onion Browser kuwa na ulinzi wa faragha kama uliopo katika Tor Browser.
Jifunze zaidi kuhusu Onion Kivinjari.
Pakua Onion Kivinjari kwenye App Store.
Ingawa Tor Browser kwa Android na Orbot vyote ni vizuri, hutoa huduma tofauti.
Tor Browser kwa ajili ya Android ni kama ya Tor Browser kwenye kompyuta, lakini kwenye kifaa chako cha mkononi. Ni kivinjari cha kuacha kimoja kinachotumia mtandao wa Tor na kujaribu kuwa na utambulisho usiojulikana kadri inavyowezekana.
Orbot on the other hand is a proxy that will enable you to send the data from your other applications (E-Mail clients, instant messaging apps, etc.) through the Tor network; a version of Orbot is also inside of Tor Browser for Android, and is what enables it to connect to the Tor network.
That version, however, does not enable you to send other apps outside of Tor Browser for Android through it.
inategemeana na ni jinsi gani unatumia mtandao wa Tor, kama ni moja au zote kwa pamoja inaweza kuwa chaguo zuri.
Ndio, kuna toleo la Tor Browser inapatikana hasa kwa Android. Hifadhi Tor Browser kwa Android kila unachohitaji unatakiwa utumie Tor katika kifaa chako cha Android.
The Guardian Project inatoa programu Orbot ambayo inaweza kutumika kwenye programu zingine kwenye kifaa chako juu ya mtandao wa Tor, hata ivyo Tor Browser kwa Android inatakiwa ku browse tovuti kwa kutumia Tor.